KWA HUDUMA ZA VYAKULA MBALIMBALI

Njoo tukuhudumie leo na hakika utafurahi, kwa chakula bora chenye kuzingatia usafi na uwepo wa virutubisho vyote.

Competitive Edge

Our unique dipping sauces blend local taste and international into one fusion recipe for the signature sauce.

Wasiliana nasi

Kwa nambari 0758131487 au 0657395595 Toa order ya chakula unachokipenda nasi tutakuletea popote ulipo kwa Gharama nafuu.

KARIBU INTELLIGENT FAST FOOD

INTELLIGENT FAST FOOD Tupo Mwenge Dar es salaam, Barabara ya TRA Karibu na Home Gym, Mtaa wa KIPEPEO

OUR VISION

To be the leading integrated food service in Dar es Salaam delivering consistent quality products and excellent customer focused service.

Wednesday 9 March 2016

KARIBU TUKUHUDUMIE


Sunday 6 March 2016

PATA NDIZI NYAMA KWA BEI NAFUU KUTOKA INTELLIGENT FAST FOOD

KARIBU INTELLIGENT FAST FOOD MWENGE


Friday 4 March 2016

PATA MAZIWA FRESHI KWA BEI NAFUU


Friday 26 February 2016

KARIBU INTELLIGENT FAST FOOD TUKUHUDUMIE

Monday 8 February 2016

MAPISHI YA SAMAKI SATO NDANI YA INTELLIGENT FAST FOOD




  •  Kwa karibu utaona kuna rojo limejitengeneza kutokana na viungo ulivyoweka. Linahitajika kusaidia samaki kuiva bila ya kuungua
  •  
     Kwenye familia naamini kuna baadhi ya ndugu ambao hupenda kupika ila hawapendi kukaa muda mwingi jikoni wakiwa wanapika, na kwa sababu hiyo huchagua kutengeneza ile miilo ambayo ni rahisi kutengeneza na haichukui muda mwingi uwepo wa mpishi jikoni.
       Njia ni tofauti, yaweza kutumia njia ya kupika kwa moto mdogo mda mrefu, hivyo baada ya matayarisho mpishi yakupasa kurejea mara kwa mara jikoni kuangalia je, mapishi yanaendaje??
       Leo tunawasaidia wale wa aina hiyo, yaani hutaki kukaa muda mwingi jikoni ila wataka kula chakula kizuri na kitamu. Tunapika samaki leo. Samaki ni wa aina ya Sato.

    Mahitaji:
  • Samaki sato 3
  • Chumvi kiasi
  • Pilipili manga kiasi
  • Kitunguu swaumu 1
  • Tangawizi 1
  • Vinegar vijiko 2
  • Ndimu 1
  • Mafuta kiasi
  • Pilipili hoho 1
  • Karoti 1
  • Nyanya 2
  • Kitunguu maji 1
Hatua:
  • Changanya mafuta kiasi, vinegar, ndimu, chumvi, pilipili manga, kitunguu swaumu, tangawizi (zilizopondwa) 
  • Katakata samaki vipande, yaani samaki mmoja akatwe mara tatu, kisha mchane kwa pembeni kiasi ili kuruhusu viungo viingie ndani ya minofu
  • Paka samaki kwa mkono viungo ulivyochanganya juu kisha vichanganye vipande vya samaki kwa pamoja vipate kuchanganyika vyema
  • Katakata pilipili hoho, karoti, nyanya na vitunguu maji katika vipande vikubwa kidogo
  • Changanya samaki waliopakwa viungo pamoja na mchanganyiko wa vipande vya pilipili hoho , vitunguu maji na kadhalika (viache kwa nusu saa ili viungo viikolee vyema)
  • Chukua tray kwa ajili ya kuweka kwenye oven, paka mafuta kiasi ili kuondosha kukaukiwa kwa samaki juu ya trey
  • Weka mchanganyiko wote juu ya trey uliotayarisha, na itaonekana kama ilivyo kwenye picha hapo chini
  • Moto wa oven utakaoanza nao ni 180
  • Baada ya dakika 20 hivi, trey yako itaonekana hivi, samaki wanaanza kuiva kwa taratiibu sana
  • Baada ya dakika 45 toka kuweka samaki wako kwenye oven, punguza moto mpaka 130 kisha jipe dakika nyingine kama 10 hivi na uzime jiko kabisa na hapo samaki wako watakua tayari, kama waonekanavyo kwenye picha 
  • Waweza kula samaki hawa kama mboga na chakula chochote. Sisi tulikua na wali mweupe uliochanganywa na njegere, kulikua na maharagwe pamoja na mchicha uliokaangwa na vitunguu maji na karoti. Na sahani yetu ilionekana hivi..... pembeni ni vile vipande vya nyanya, vitunguu maji, karoti vilivyobanikwa na samaki ndani ya oven

  Jaribisha mpiko huu wa samaki, ambao ni rahisi sana kuupika, kisha tujuza je, uliupenda upishi huu, pengine tutumie na picha kutuonesha jinsi samaki wako walivyotokea, anwani yetu ni 0758131487 TUNAPATIKANA MWENGE KARIBU NA HOME GYM MTAA WA KIPEPEO

PATA WALI NYAMA NA CHIPS KWA BEI NAFUU

 BEI YAKE NI 2,500 PEKEE

BEI YAKE NI 2,500 PEKEE ORDER NOW ON 0758131487 YOU ORDER WE DELIVER